Tuesday, May 28, 2013

Treni yaua mchumi Dar es Salaam

Gari aina ya CRV Honda yenye namba za usajili T 680 ARK likiwa kwenye kituo cha Polisi cha Tazara, Dar es Salaam baada ya kugonga treni eneo la Moshi Bar na kusababisha kifo cha mtu mmoja na wengine wawili kujeruhiwa, jijini jana. (Picha na Fadhili Akida).
Gari aina ya CRV Honda yenye namba za usajili T 680 ARK likiwa kwenye kituo cha Polisi cha Tazara, Dar es Salaam baada ya kugonga treni eneo la Moshi Bar





MCHUMI wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Elias Kitundu (39) amekufa papo hapo huku mkewe Agness Msoka (37) na mtoto wao Samson Kitundu (17) wakijeruhiwa, baada ya gari lao kugonga ‘treni ya Mwakyembe’ jana alfajiri eneo la Moshi Baa Ilala, Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo lililotokea saa 11.46 na kuthibitishwa na Kamanda wa Kikosi cha Mamlaka ya Reli Tanzania na Zambia (TAZARA), Rashid Seif, chanzo chake ni uzembe wa dereva wa gari aliyekatisha reli wakati treni ikiwa karibu.

Ilielezwa kuwa lengo la dereva huyo ambaye ni mke wa marehemu, alikuwa akiendesha kwa kasi gari hilo namba T 680 ARK aina ya Honda, akiwahi kuvuka upande wa pili wa reli, ili kumwahisha mtoto wao anayesoma Sekondari ya Airwing, ndipo ilipogonga treni na kusababisha mauti ya mchumi huyo.

“Ilionekana dereva hakutaka ushauri wa mtu yeyote, kwani licha ya watu kumpigia kelele na madereva wa magari mengine kumwashia taa wakimtaka asimame, hakutaka kusikiliza ushauri huo,” alisema mmoja wa mashuhuda aliyejitambulisha kwa jina la Salum Makiya.

Mmoja wa wahudumu wa treni hiyo ambaye hakupenda jina lake liandikwe gazetini kwa kuwa yeye si msemaji, alisema akiwa ndani ya treni akitoa huduma, alisikia kishindo na mkwaruzo na alipochungulia dirishani aliona gari likikokotwa na treni umbali wa takribani meta 50 kabla ya kusimama.

Kamanda Seif, aliitaja namba ya treni iliyohusika katika ajali hiyo kuwa ni 5111 yenye injini namba BHF- 002, na ilikuwa ikiendeshwa na David Ngonyani akisaidiwa na Moshi Hilary ikitoka Kipunguni kwenda Jet Lumo.

Alisema ajali hiyo ilisababishwa na uzembe na kuthibitisha kifo cha mchumi huyo kilichotokea papo hapo na mkewe na mtoto kujeruhiwa na baada ya muda mfupi wote walikimbizwa katika Hospitali ya Amana.

Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana baadaye Amana, mtoto huyo aliruhusiwa baada ya kupata matibabu ya michubuko huku mama yake akihamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na majeraha aliyopata yakiwamo ya kuvunjika miguu.

By Oscar Job

Monday, May 27, 2013

Police clash with protesters in Bern, over 60 arrested

Swiss police spraying tear gas toward participants in a street parade in Bern, May 25, 2013.
Swiss police spraying tear gas toward participants in a street parade in Bern, May 25, 2013.  


Swiss police say they have arrested over 60 people in the capital Bern after a street parade turned into a protest against capitalism and police brutality.


Authorities said 10,000 people turned up at the event, protesting against neo-liberal economics and commercialism.

The march had started peacefully late on Saturday, but later clashes broke out between the police and dozens of protesters, with the security forces using tear gas and a water canon to disperse crowds.

The Police released a statement on Sunday, saying that 61 people had been taken into custody.

The protesters also opposed the gentrification of parts of Bern, which they claim has driven up property prices.

Prior to the rally, riot police had been extensively deployed with barricades having been set up around Parliament Square.

Organizers issued a statement on Sunday, condemning the measures taken by authorities, saying many of the participants had acted in self-defense and the officials had conducted a smear campaign.

    "The state made its intentions clear. The protection of parliament was more important than that of thousands of people," said the organizers.

The parade, held for the third consecutive year, had been organized on social networking websites.
CAH/HMV

Sunday, May 26, 2013

Mama Salma Kikwete ashiriki katika shughuli za Umoja wa wake wa Marais wa Afrika (OAFLA) jijini Addis Ababa

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki katika kikao cha cha 'steering committee' cha Umoja wa wake wa Marais wa Afrika (OAFLA) kilichofanyika Addis Ababa
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa  na baadhi ya wake wa Marais na Wakuu wa nchi za Afrika wakipata maelezo katika moja ya taasisi za Ethiopia





Neymar signs for Barcelona

Neymar signs for Barcelona
Neymar

 BARCELONA have landed £20million Brazil star Neymar on a five-year deal.

The striker is heading to Europe after Santos finally agreed to sell South American football’s hottest property.

Writing on Instagram, Neymar said: "I’m here with friends and family and they have helped me to write a few things.


"I’m not going to hold out until Monday. My family and friends already know my decision.
“On Monday I will sign a contract with Barcelona.”

Barca top brass went to Sao Paolo for high level talks with the Brazilian club’s transfer dealmakers.

And they convinced Santos to part with their prized asset, who could have left for NOTHING in July.

Neymar wanted time to consider another offer from Barca's bitter rivals Real Madrid but opted for a move to the Nou Camp.

He added: “I want to thank the fans of Santos for these incredible nine years. My feeling for the club and the fans will never change. It is eternal!

“Only a club like Santos could give me everything I have experienced on and off the field.

"I thank the wonderful fans who supported me even in the most difficult moments.

“Titles, goals, dribbling, celebrations and songs that fans created for me will be forever in my heart.”
The swoop will see Brazil's brightest talent link up with Argentina's main man Lionel Messi in a lethal strikeforce.

Neymar has scored 138 goals in just 229 games following his Santos debut in 2009.

An official statement from Santos said: "The management committee announces that it has received notification from Neymar that he has decided to accept the proposal of Barcelona.

"The transfer of playmaker to the Spanish team will be sealed in the coming days.

“After refusing a offers of many millions for Neymar since mid-2010, and having implemented a career plan that allowed his historic stay in Brazil for several years, bucking the trend of Brazilian football to quickly sell its greatest talents, Santos finally agreed to sell.

“Every effort was made to keep him in Brazil as long as possible, even offering to renew the current contract, which ended in July 2014.

"At this time, however, it was not possible to compete with the terms offered from abroad, which affected the decision of the player to review his professional life.

“Due to the confidentiality agreement, and by mutual agreement, the terms of the transfer will not be disclosed by any of the parties.” 

Saturday, May 25, 2013

FRENCH actress Frederique Bel pulled out all the stops at the Cannes Film Festival this week - baring her nipples in a completely see-through dress.

Shameless style

TEN celebs who strip off to steal the limelight

Red carpet side boob
Look at me! ... stars' outrageous attention-grabbing antics

Friday, May 24, 2013

Achoma zahanati kwa wivu wa mapenzi




SEHEMU ya jengo la Zahanati ya Digarama katika Wilaya ya Mvomero, imechomwa moto na mtu anayedaiwa kufanya hivyo kutokana na wivu wa mapenzi. Baadhi ya wananchi wa kijiji hicho ambao hawakupenda majina yao yaandikwe gazetini, wanadai aliyechoma chumba kimojawapo cha zahanati hiyo, amefanya hivyo kutokana na sababu za kimapenzi.


Mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Anthony Mkata aliyefanya mkutano wa hadhara na wanakijiji, baadhi yao walisimama na kudai aliyefanya kitendo hicho anadai mkewe alikuwa akifanya mapenzi na mkazi mmoja katika jengo hilo lililokuwa katika hatua za mwisho za kukamilika ili lianze kutumika.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Faustine Shilogile, amethibitisha tukio hilo na kuongeza kuwa, mtu mmoja anahojiwa. Hakutaja jina la mtuhumiwa wala kuthibitisha kama ndiye anayetuhumiwa na wanakijiji, Kamanda Shilogile alisema atafanya hivyo uchunguzi utakapokamilika.

Imeelezwa kuwa, kama si wanakijiji kuwahi kuuzima moto ulioteketeza mbao na madirisha yote katika chumba hicho, jengo zima la zahanati hiyo lingeteketea. Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mkata, ameviamuru vyombo vya ulinzi wilayani humo kushirikiana na wananchi wa Kijiji cha Digarama kumsaka aliyefanya kitendo hicho.

Zahanati hiyo inatajwa kuwa tegemeo kubwa kwa wananchi wa Kijiji cha Digarama na vijiji jirani kutokana na kuwa mbali na Hospitali Teule ya Bwagara.

Ujenzi wa zahanati hiyo ulikuwa umekamilika kwa asilimia kubwa ikisubiriwa kufunguliwa hivi karibuni. Mkuu wa Wilaya alikutana juzi na wanakijiji na kutoa maagizo hayo.

Jengo hilo la zahanati lilichomwa usiku wa Mei 19. Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya chini yake, ikiongozana na watendaji wa Idara ya Afya pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya, ilifika kijijini hapo na kuitisha mkutano wa hadhara wa wananchi kulizungumzia jambo hilo.

“Moto uliotokea kwenye zahanati haukuwa wa bahati mbaya, bali ni wa makusudi uliotokana na mtu mwenye sababu zake binafsi kutaka kuteketeza kabisa Zahanati ya Kijiji cha Digarama,” alisema Mkuu wa Wilaya.

Katika mkutano huo, wananchi walielezwa faida ya zahanati na kuomba ushirikiano wa wanakijiji kubaini mhusika ili akamatwe na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.

Kwa mujibu wa Mkuu wa Wilaya , Mkata, Serikali ilitenga Sh milioni 10 kwa ajili ya ukamilishaji wa hatua za mwisho kabla ya kuifungua kuwaondolea adha ya muda mrefu waliyokuwa nayo kutokana na kukosa zahanati.

Katika mkutano huo, baadhi ya wananchi walitokwa machozi. Walidai kwa muda mrefu wamekuwa wakisafiri umbali wa zaidi ya kilometa 20 kwenda Hospitali ya Bwagara.

By John Nditi, Mvomero

MJUE MSHINDI WA TAJI LA MISS UTALII TANZANIA 2012/13


 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhbE0opitlyo2yb_cw5FtVPnf0vr835WM2LDOjRSLTDHxZ8fU2pxag5UfpSGGumFi0rIwEQA7KSx7KMlYqZVOSqSpmRZKn1uLwzL62mCYEpgluIc3C4Ezaz7VjYm8krX_oDLIYP6lx9HMnh/s1600/DSCN9282.JPG
MSHINDI WA TAJI LA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 HADIJA SAID MISS UTALII MOROGORO  KATIKATI AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA LUCY NOEL MISS UTALII DAR ES SALAAM KUSHOTO NA MSHINDI WA TATU KULIA THELESIA KILOMO MISS UTALII VYUO VIKUU.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhCSZOaPR1Nz_bk-3iaRjj7tgZIocN31cwDjpE1tsMbg_gctjabBrKTc2QJbfDYnhoEeEQoO4B9QTJ5vTwgCuhgGZCAhMRFFK8KuWGFj47c-DKJ1vVz15DjRLLiJiiXwlBuzDw19q9FDJQO/s1600/DSCN9206.JPG
 MSHINDI WA TAJI LA MISS UTALII TANZANIA 2012/13 HADIJA SAID MISS UTALII MOROGORO AKISHWA TAJI LA USHINDI NA MGENI RASMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA TANGA LUTENI KANALI MSTAAFU CHIKU GALAWA,MKUU WA WILAYA YA TANGA HALIMA BENDEGO
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEivzByT-UPrzDs4QfkqzNkhjlLhV5S_lfTbJeYU43leYxILawmBcHWPyEcHanvnjCpswa5Ku5D6w8AdF9Pmbep9B7hyHRCup0shLP8RDefDdeOKYpH7t_0MVmDQ8SoHhLXYpsLgr7EjtSEL/s1600/DSCN9231.JPG
 KUTOKA KUSHOTO NI MISS UTALII KUTOKA MKOA WA KATAVI ASHA RAMADHANI ALIYE SHINDA NAFASI YA NNE, LUCY NOEL MISS UTALII DAR ES SALAAM ALIYESHINDA NAFASI YA PILI, MISS UTALII MOROGORO HADIJA SAID AMBAYE NDIYE MISS UTALII TANZANIA 2012/13, MISS UTALII VYUO VIKUU THERESIA KILOMO
 https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhgbBMfnwqdYqYcQQIwghFCLT_7mqxaBw-aAUgFNPe3O_IB_Oc8Jp-Vvjjs8m3tDQBJXKlLA4HP_Elf8frVnWpG6t15_a9I_G2xDExtxEMA9BSCP_N_lgRboyeLfXDsNhatTi-oNoSXRQlA/s1600/DSCN9229.JPG
 KUTOKA KUSHOTO NI MISS UTALII KUTOKA MKOA WA KATAVI ASHA RAMADHANI ALIYE SHINDA NAFASI YA NNE, LUCY NOEL MISS UTALII DAR ES SALAAM ALIYESHINDA NAFASI YA PILI, MISS UTALII MOROGORO HADIJA SAID AMBAYE NDIYE MISS UTALII TANZANIA 2012/13, MGENI RASMI KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA TANGA LUTENI KANALI MSTAAFU CHIKU GALAWA,MKUU WA WILAYA YA TANGA HALIMA BENDEGO ,MISS UTALII VYUO VIKUU THERESIA KILOMO NA MISS UTALII SINGIDA MWAKOMBO KESSY ALIYESHINDA NAFASI YA TANO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhLekPeH8w7W9-czaYM2DGqu0TVsvZUnuFR0RcG1TLeg7W9fQHpQCuf6Twus2J8KzbmsYynPhlP7HWS1VMYqFpF5DVLW7g0qzxBS0gxfnpWCgwex3NjwwcTQqnfOUmLaZLdTtohL4B6JoGn/s1600/DSCN9233.JPG
 WASHIDI WA TANO BORA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI WA SERIKALI MKOA WA TANGA.

Thursday, May 23, 2013

Dr. Slaa ruksa kuoana na Josephine : Mahakama




Leo Asubuhi mahakama imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Aminiel Mahimbo.


Josephine aliomba talaka na mahakama ikaamuru apewe. 

Baadae Aminiel Mahimbo alikata rufaa. Matrimonial Appeal number 32/2012, Aminiel Mahimbo Vs Josephine Mushumbusi,Rufaa ya kupinga Talaka iliyotolewa na mahakama ya Mwanzo Sinza katika kesi ya Ndoa number 4/2012 imetupiliwa mbali leo na Hakimu Mkazi Wambura wa Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni,

Ikitoa hukumu kwenye sababu za rufaa Hakimu wa Wilaya ameridhika kwamba kulikuwepo na ushahidi wa kutosha kwa mahakama ya mwanzo kutoa talaka kwa wadaiwa.

RAISI JAKAYA M.KIKWETE ASISITIZA RASILIMALI INAYOPATIKANA POPOTE NCHINI NI YA WATANZANIA WOTE


 
 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete amekemea vikali vurugu zilizotokea jana mkoani Mtwara baada ya kusomwa bungeni kwa Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini.


 Akizungumza katika eneo la Kizota mkoani Dodoma wakati wa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Barabara ya Dodoma kwenda Iringa, Rais Kikwete alisema wote waliohusika na vurugu hizo watasakwa na kuchukuliwa hatua kali.

 Rais Kikwete alisema rasilimali inayopatikana mahali popote pale nchini inatakiwa kutumiwa na Watanzania wote.

“Hivi watu wa Nyarugusu wadai dhahabu ya pale au kinachopatikana Chalinze basi kisitumiwe na watu wa Morogoro! Hivi tutakuwa na taifa kweli?,” alihoji kwa ukali Rais Kikwete.

 Rais Kikwete alisisitiza kuwa Serikali itawasaka wale wote wanaoongoza vurugu hizo na watawajibishwa kwa makosa hayo.

“Tutawasaka hawa watu na viongozi wao hata kama wana mapembe kiasi gani, tutayakata.” Alisema kwa msisitizo

Wednesday, May 22, 2013

Shambulizi la kigaidi mjini London



Woolwich map


Mtu mmoja ameuwawa katika shambulio la mapanga na washukiwa wawili wamepigwa risasi na polisi katika mtaa wa Woolwich, kusini mashariki ya London.

Waziri Mkuu David Cameron amesema kuna ishara nzito kua ni tukio la kigaidi na Uingereza haitaterereka wakati inakabiliwa na mashambulio kama hayo.

Picha za video zimejitokeza zikimuonyesha mtu akipunga panga la kuchinja nyama na kutoa matamshi ya kisiasa.

Akisema " Lazima tupigane nao kama wanavyopigana nasi. Jicho kwa jicho,jino kwa jino".

Taarifa zizisothibitishwa zaeleza mtu aliyeuwawa alikuwa mwanajeshi katika kambi ya kijeshi ya Woolwich.
Makao ya waziri mkuu yamesema Bwana Cameron ambae alipanga kulala mjini Paris baada ya kukutana na Rais wa Ufaransa anarejea Uingereza.

Waziri wa mambo ya ndani Theresa May aliita mkutano wa kamati ya dharura ya usalama , Cobra.
Watu wote wawili waliopigwa risasi na polisi walipelekwa hospitali na mmoja anasemekana kua katika hali mbaya.

Mtu mmoja aliyeshuhudia tukio hilo alisema watu hao wawili walimshambulia mtu mmoja mwenye umri wa miaka 20 ambae alikua amevalia fulana iliyokua na maandishi ya wakfu wa kuwasaidia wanajeshi uitwao Help for Heroes.Msaada kwa mashujaa

MKUU wa Wilaya ya Arusha , John Mongela awataka vijana kujitambua

MKUU wa wilaya ya Arusha , John Mongela

MKUU wa wilaya ya Arusha , John Mongela amewataka vijana kujitambua na kujiamini huku wakiepukana na tabia ya kutumiwa na vyama mbalimbali vya siasa na kuishia kuwanufaisha wengine na wao kuendelea  kubakia maskini.


Aliyasema hayo jana  wakati akizungumza na vijana kutoka maeneo mbalimbali , ikiwemo vyuoni na wajasirimali wadogowadogo pamoja na viongozi  kutoka serikalini katika semina iliyofanyika mjini hapa .

Alisema kuwa, vijana wanapaswa kujitambua kuwa wana fursa mbalimbali ambazo wanapaswa kuzitambua na kuzitumia badala ya kubweteka na kukaa bila shughuli za kufanya na wengine kuishia kutumia na vyama mbalimbali vya siasa  hali inayochangia wengi wao kujiingiza katika makundi yasiyofaa.

 ‘unajua vijana wengi kutokana na kutokuwa na kazi za kufanya wameishia kutumiwa na vyama vya siasa hali inayochangia kwa kiasi kikubwa kuendelea kubaki kama walivyo na kuendelea kuwanufaisha vyama  hivyo, ni vizuri mjifunze kujituma na kutumia fursa zilizopo kwa kujiletea mafanikio zaidi’alisema Mongela.

Naye Mwenyekiti Mtendaji wa  chuo cha mafunzo ya uandishi wa habari na biashara (EABMTI) ,Rosemary Mwakitwange alisema kuwa, lengo la mkutano huo ni kuangalia namna ya vijana wa kitanzania wanaweza kupata fursa zilizopo hapa na kuweza kuzitumia kwa manufaa yao kwa ujumla.

Alisema kuwa, ili vijana waweze kujikwamua kiuchumi ni lazima tufike mahali sasa tuweze kuwajengea ujasiri wa kuweza kujitambua wao kwanza na hatimye kuzimbua fursa zilizopo katika maeneo yao na kuzitumia kwa manufaa yao na nchi kwa ujumla .

Alisema kuwa , chuo hicho ndio waratibu wa mradi huo hapa nchini  ambapo wamekuwa wakiandaa mikutano mbalimbali yanayohusiana na  maswala mbalimbali ya kiafya na kujamii ya vijana haswa wa kike wenye umri kati ya miaka 15 -24.

Aidha  mikutano hiyo wameshafanya  katika mikoa ya Pwani, Tanga, Iringa,Manyara,na Zanzibar ambapo hii ikiwa ni awamu ya pili  wamepanga kufanya mikutano mingine ya aina hiyo katika mikoa ya Rukwa, Kilimanjaro, Zanzibar,Mwanza,  na Ruvuma .

‘Unajua katika semina hii tunazungumzia  mradi wa ‘je tufanyeje  mradi unaodhaminiwa na shirika la USAID chini ya Sauti ya Amerika (VOA)  katika kujadili maswala mbalimbali ya vijana na fursa  za kiuchumi zilizopo miongoni mwao na kuweza kuzitumia kwa lengo la kuondokana na changamoto mbalimbali zinazowakabili na hatimaye kuwawezesha kufikia malengo yao’alisema Mwakitwange.

Aidha semina hiyo imedhanimiwa na shirika la misaada la watu wa Marekani (USAID) chini ya uangalizi na uandaaji  wa Idhaa ya Kiswahili ya sauti ya Amerika (VOA).

Amateur footage of the Oklahoma tornado




A massive, 3km-wide tornado struck the town of Moore in the suburbs of Oklahoma City on Monday, flattening entire neighbourhoods.

At least 24 people have been reported dead by local authorities, while a further 200 have been injured in what is the deadliest tornado to hit the United States since 2011. Two schools and numerous houses were completely destroyed by winds going as fast as 300 kilometres per hour.

 As emergency workers frantically searched for survivors on Tuesday amid the devastation caused by a massive tornado that tore through the suburbs of Oklahoma City, officials revised the death toll down to 24 from the 51 previously reported.

The higher number was attributed to the possibility that some of those killed had been counted twice, explained Amy Elliot, chief administrative officer for the medical examiner.

The worst affected area was the community of Moore, a town of approximately 50,000 people around ten miles south of Oklahoma City, where the tornado left a path of devastation, turning whole rows of houses into piles of rubble and leaving cars and trucks crumpled by the roadside.

Seven children died at Plaza Towers Elementary School, which took a direct hit, but many more survived unhurt.

“They literally were lifting walls up and kids were coming out,” Oklahoma State Police Sergeant Jeremy Lewis said. “They pulled kids out from under cinder blocks without a scratch on them."

President Barack Obama pledged to provide all resources available to the government to help the state of Oklahoma in rescue and recovery efforts. “There is a long road ahead, in some cases there will be enormous grief, but you will not travel that road alone,” Obama said a press conference in Washington.

Weather forecasters reported that the giant twister measured some two miles across while the country’s National Weather Service issued an initial finding that the tornado was an EF-4 on the enhanced Fujita scale, the second most-powerful category. Wind speeds reached up to 200 mph – a figure matched by less than one percent of all tornadoes.

Neighbourhoods 'absolutely obliterated'
“The tornado itself was two to two-and-a-half-miles-wide when it touched down,” Oklahoma Lieutenant Governor Todd Lamb told FRANCE 24. “It obliterated – absolutely obliterated – neighbourhoods, flattened businesses and this will be a devastating and horrific event for days to come.”

Early reports put the official death toll at 51, but Elliott later said in a televised interview with CNN that at least 91 people had been killed by the tornado, before revising the toll down to 24. About 237 people are reported to have been injured.

That figure could still rise as emergency workers search for victims among the rubble.

US President Barack Obama meanwhile declared a "major disaster" in Oklahoma and ordered federal aid to supplement local recovery efforts.

A map provided by the National Weather Service showed that the storm began west of Newcastle and crossed the Canadian River into Oklahoma City’s rural far southwestern side about 3pm. When it reached Moore, the twister cut a path through the centre of town, sending residents running for cover in storm cellars and any other shelter they could find.

'We thought we were dead'
“We locked the cellar door once we saw it coming,” said tornado survivor Ricky Stover. “It got louder and next thing you know is you see the latching coming undone and we couldn't reach for it and it ripped open the door and just glass and debris started slamming on us and we thought we were dead to be honest.”

Oklahoma City lies inside the so-called "Tornado Alley" stretching from South Dakota to central Texas, an area particularly vulnerable to tornadoes.

Monday's tornado followed roughly the same track as a May 1999 twister that killed 44 people, injured hundreds more and destroyed thousands of homes and is generally regarded as the worst tornado to strike Oklahoma since modern records began.

According to Patrick Marsh of the National Oceanic and Atmospheric Administration Storm Prediction Center, it is still too early to tell if this latest tornado is worse than the one in 1999, but he described the twister as “very strong and violent” with some “similar characteristics” to the 1999 tornado.

He also warned that more severe weather could strike the region in the coming days.

“As [the storm system] continues to move through the country, there will continue to be a threat,” he told FRANCE 24. “I think it will probably go on for at least another couple of days, slowly moving further south and east with time.”