Thursday, May 23, 2013

Dr. Slaa ruksa kuoana na Josephine : Mahakama




Leo Asubuhi mahakama imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Aminiel Mahimbo.


Josephine aliomba talaka na mahakama ikaamuru apewe. 

Baadae Aminiel Mahimbo alikata rufaa. Matrimonial Appeal number 32/2012, Aminiel Mahimbo Vs Josephine Mushumbusi,Rufaa ya kupinga Talaka iliyotolewa na mahakama ya Mwanzo Sinza katika kesi ya Ndoa number 4/2012 imetupiliwa mbali leo na Hakimu Mkazi Wambura wa Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni,

Ikitoa hukumu kwenye sababu za rufaa Hakimu wa Wilaya ameridhika kwamba kulikuwepo na ushahidi wa kutosha kwa mahakama ya mwanzo kutoa talaka kwa wadaiwa.

No comments:

Post a Comment