Jengo la World Garden
maeneo ya Mushoni jijini Arusha
Mkuu wa Mkoa wa
Arusha Mhe Magesa Mulugo (katikati) akiwasili eneo la jengo la World Garden akiwa ameongozana na Diwani wa Kata ya Moshono Mhe. Paul Matthysen (kushoto)aliyevaa miwani.
Jengo hilo
ambalo lina kumbi za mikutano pamoja na ukumbi mkubwa wa
Disco ambapo inadaiwa kuwa kwa upande wa Afrika Mashariki na Kati hamna jengo kama hilo
Kwa ubavuni
Mkuu wa mkoa wa
Arusha Mhe. Magesa Mullongo akizindua rasmi ukumbi huo wa disco uliopo Mushono
ndani ya jiji la Arusha
Ukumbi wa disko
unaosemekana ni mkubwa kuliko yote Afrika Mashariki na kati.
No comments:
Post a Comment