Thursday, February 14, 2013

MKUTANO WA TATU WA WADAU WA NSSF WAENDELEA JIJINI ARUSHA.

MkurugenziMkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau
akisisitiza jambo mbele ya  Wadau zaidi ya 1000 kutoka sehemu mbalimbali
ndani na nje ya Tanzania, kwenye mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika
la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaondelea hivi sasa ukiwa ni siku ya
pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli
mbiu yake kwa mwaka huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia
panda-Nini kifanyike.
 Mbunge wa jimbo la Perahamio-Songea,Mh Jenista
Mhagama akiomba kupewa ufafanuzi kuhusiana  na Sera na Sheria za fedha
ziko salama kiasi gani katika mifuko ya hifadhi ya jamii,kwenye mkutano wa tatu
wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaondelea hivi sasa
ukiwa ni siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini
Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii
Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike.
 
 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA),Irene Isaka,akifafanua kuhusiana na mambo mbalimbali yahusuyo mifuko ya hifadhi ya jamii,ikiwemo sambamba na namna gani inavyoweza kukuza uchumi na kuleta maendeleo makubwa ndani ya jamii.
 
 Mchambuzi Mkuu wa masuala ya Kifedha kutoka Benki kuu ya Tanzania (BOT),Bi.Liku Katekamba akitoa ufafanuzi kuhusiana na usalama wa fedha ndani ya mifuko ya hifadhi ya jamii,na pia amewataka Wanachama kuwa na imani ya mifuko yao ya hifadhi ya jamii.
 
 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crenscentius Magori
akiteta jambo na Mkuu wa Kitengo cha mahusiano NSSF,Eunice Chiume wakati  wa mkutano
 wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaondelea hivi sasa ukiwa 
ni siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo 
kauli mbiu yake kwa mwaka huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike.
 
 
Pichani ni sehemu ya Wadau mbalimbali  zaidi ya 1000 waliohudhuria Mkutano wa tatu wa 
Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaondelea hivi sasa ukiwa ni siku ya pili,
kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha,ambapo kauli mbiu yake kwa mwaka
huu ni Sekta ya hifadhi ya Jamii Tanzania,Njia panda-Nini kifanyike.
 
 
 
 
 
 

 
 
 
 

No comments:

Post a Comment