Saturday, June 1, 2013

KARIBU FAIR ARUSHA YAFANA SANA - KATIKA PICHA

 
Kampuni maarufu ya kitalii ya Sunny Safaris moja ya makampuni yaliyoshiriki


Banda la Utalii wa kitamaduni

Baadhi ya Wananchi wakijisomea vipeperushi


Afisa Uhusiano wa Idara ya Uhamiaji,Tatu Burhan akionesha Hati ya kusafiria ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki


Maafisa wa Idara ya Uhamiaji,Tatu Burhan(wa pili kushoto) na Likas Basil wakitoa ufafanuzi juu ya mambo mbalimbali yanayohusu idara hiyo

No comments:

Post a Comment