Tuesday, January 22, 2013

Mazungumzo uwanja wa ndege

Mama Salma Kikwete akibadilishana mawazo na mke wa Rais wa Mali, Mama Touré Lobbo Traoré aliyekutana naye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Charles de Gaulle, jijini Paris, Ufaransa baada ya kuwasili kwa ziara ya Kiserikali ya siku tatu.


No comments:

Post a Comment