Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Babati mkoani Manyara, Mohamed Farah
(kushoto) akitia sahihi makubaliano ya halmashauri hiyo kumiliki ekari
4,149 za shamba la Babati Sisal Estate zilizokuwa zikimilikiwa na
Kampuni ya Tanga General Ltd ambayo sasa itabakiwa na ekari 200.Wengine ni Mkurugenzi wa mji huo, Stella Paschal, Mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Mustafa Mohamed na mwana hisa mwenzake Dhiru Chauhan. (Picha na Fortunatha Ringo). |
No comments:
Post a Comment