Mpira umemalizika Simba 1-1 JKT
Oljoro
Mpira unaweza isha muda wowote na
matokeo bado 1kwa1.Zimeongezwa dk 2
Dk ya 42 kipindi cha pili simba
wanapoteza nafasi ya kupata bao la ushindi
Dk 37 kipindi cha pili Jkt oljoro
wanakosa goli la wazi.
Dk ya 28 kipindi cha pili, simba
wanafanya mabadiliko Edward christopher anaingia na anatoka MudeJkt Oljoro
wanakosa goli la wazi na wanafanya mabadiliko kwa kumtoa Esau.
Ngasa ameingia kuchukua nafasi ya
Rashid
Jkt wanasawazisha bao kufuatia
uzembe wa beki ya simba.
JKT OLJORO wanakosa goli la wazi
na wanafanya mabadiko ya mchezaji.
Mchezaji wa JKT anapewa kadi ya
njano kwa kumkwatua Kazimoto.
Kipindi cha pili kimeanza hakuna
mabadiliko yoyote.
Mashabiki wanaodhaniwa wa simba
wanawashambulia watu waliovaa nguo zinazodhaniwa za CCM.
Dk 38 Oljoro wanalishambulia sana lango la Simba kwani
wanaonyesha kuwakamata vilivyo
Hadi dk ya 34 simba wanaongoza
goli moja lililofungwa na Kazimoto kwa shuti kali umbali wa mita 30
Paul Ngalema ameumia vibaya na
kutolewa uwanjani ameshindwa kuendelea na mchezo
Dk ya 29 JKT OLJORO wanakosa goli
la wazi ktk shambulizi baada ya mpira kumtoka mikononi na JKT wakazubaa.
Kikosi cha Simba kinachoanza leo
dhidi ya JKT Oljoro
KASEJA, CHOLLO, NGALEMA, KAPOMBE,
KEITA, JONAS, KIEMBA, MUDDE, RASHID ISMAIL, KAZIMOTO na Haruni CHANONGO.
No comments:
Post a Comment