Mgeni Rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa
Mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Makamu
wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd (wa tatu
kulia) na Mkewe,Mama Asha Seif Idd (wa
pili kushoto) wakiwasili kwenye hoteli ya Mount Meru,Jijini Arusha usiku huu
tayari kwa ufunguzi wa Mkutano huo utakaoanza kufanyika kuanzia Februari
15,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.Wengine pichani
ni Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka (katikati),Naibu Waziri wa Kazi
na Ajira,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga (wa pili kulia),Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi wa NSSF,Ndg. Aboubakar Rajab (nyuma ya Waziri Kabaka) pamoja na
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan
Dau (kulia).
Mgeni Rasmi katika hafla ya
Ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF),Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Ali
Idd akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mkutano wa tatu wa Wadau
wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) utakaoanza kufanyika kuanzia
Februari 15,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Waziri wa Kazi na Ajira,Mh.
Gaudencia Kabaka akisoma hotuba yake usiku huu wakati wa hafla ya Ufunguzi wa
Mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF)
utakaoanza kufanyika kuanzia Februari 15,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa
wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akizungumza machache usiku
huu wakati wa hafla ya Ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa
la Hifadhi ya Jamii (NSSF) utakaoanza kufanyika kuanzia Februari 15,kwenye
ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mgeni Rasmi katika hafla ya
Uzinduzi wa Mkutano wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii
(NSSF),Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Ali
Idd akipongezwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NSSF,Ndg. Aboubakar Rajab
mara baada ya kutoa hotuba yake ya ufunguzi wa Mkutano wa tatu wa Wadau wa
Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) utakaoanza kufanyika kuanzia
Februari 15,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika
la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crenscentius Magori akitangaza majina ya
washindi wa tuzo mbali mbali za NSSF kutoka mashirika,makampuni
pamoja na watu
binafsi.
Baadhi ya Washindi wa Tuzo mbali mbali za NSSF wakipokea
tuzo zao hizo kutoka kwa Mgeni Rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Mkutano wa
tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Makamu wa Pili wa
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd
Wakurugenzi Wakuu wa Zamani wakiwa na tuzo zao baada ya
kupokea.
Mgeni Rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Mkutano
wa tatu wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Makamu wa Pili
wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Balozi Seif Ali Idd akiagana na
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan
Dau.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akiagana na Mke wa Makamu wa
pili wa Zanzibar,Mama
Asha Seif Idd.
Waziri wa Kazi na Ajira,Mh.
Gaudencia Kabaka (kulia) akibadilishana mawazo na Katibu Mkuu Wizara ya Kazi na
Ajira,Ndg. Eric Shitindi (katikati) pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
wa NSSF,Ndg. Aboubakar Rajab.
Mkurugenzi Mkuu wa
PPF,William Erio (kulia) akimtambuliza Meneja Mawasiliano wa PPF,Lulu Mengele
kwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Kabwe.
Zawadi kwa Mgeni Rasmi.
Zawadi kwa Mh. Waziri
Kabaka.
King Kikii na Wazee Sugu.
Kigoma All Stars wakitigita stejini.
Picha
ya pamoja na wajumbe wa Bodi ya NSSF.
No comments:
Post a Comment