Thursday, January 3, 2013

CATHERINE FOUNDATION - 30 Novemba,2012

DSC09645


 Pichani ni mbunge wa viti maalum vijana(CCM) Catherine Magige akiwa na baadhi ya vijana wakibadilishana mawazo kabla ya uzinduzi ulioenda sambamba na sherehe ya uzinduzi wa Catherine Foundation kwenye viwanja vya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Arusha, pamoja na kutoa msaada wa baskeli kwa walemavu wa wilaya ya Arusha.

 DSC09650

Mgeni rasmi ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela akisalimiana na wageni mbali mbali wakati alipowasili kwenye uzinduzi wa Catherine Foundation Jijini Arusha 

DSC09669

Mbunge wa viti maalum  Catherine Maggige akisomama taarifa ya Foundation yake ilivyoanza kazi mbele ya mgeni rasmi mkuu wa wilaya na wananchi waliohudhuria uzinduzi wa Catherine Foundation kwenye ofisi ya mkuu wa wilaya ya Arusha leo Asubuhi

DSC09688

 

Katika picha ya pamoja mara baada ya baadhi ya  Walemavu kupatiwa msaada wa baskeli.

Mkuu wa Wilaya ya Arusha akiongea na vyombo vy habari kulia ni David Rwenyagila wa Redio 5 Arusha.

 Mkuu wa Wilaya ya Arusha akiongea na vyombo vy habari kulia ni David Rwenyagila wa Redio 5 Arusha.

No comments:

Post a Comment