Sunday, February 17, 2013

DIAMOND AWAPAGAWISHA BAADHI YA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA

Msanii wa kizazi kipya ajulikanaye kwa jina la Nasib Abdul (diamond Platinum) akiwapa burudani wa kazi wa jiji la Arusha katika shoo yake iliodhaminiwa na kituo cha radio 5 ndani ya  klabu ya safari iliopo ndani ya ukumbi wa jengo la sundown cornival lililopo nje kidogo ya jiji la Arusha

No comments:

Post a Comment