Thursday, January 31, 2013

Waziri Mkuu Pinda afungua Mkutano wa Kimataifa wa Maji Safi na Salama mjini Arusha

Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa na anajadiliana jambo wageni waliohudhuria mkutano wa kimataifa kuhusu maji salama na safi. Kushoto ni Profesa Shem Wandiga kutoka chuo kikuu cha Nairobi na katikati ni Mkurugenzi wa Maji safi na salama Duniani Profesa Benito Marinas kutoka chuo kikuu cha ILLINOIS nchini Marekani mkutano huo wa siku tatu unafanyika mjini Arusha.
( Picha na Chris Mfinanga).

No comments:

Post a Comment